Ufafanuzi msingi wa kifaru katika Kiswahili

: kifaru1kifaru2

kifaru1 , faru

nominoPlural vifaru

  • 1

    mnyama mkubwa wa porini, anayefanana na kiboko na mwenye kipusa usoni.

Matamshi

kifaru

/kifaru/

Ufafanuzi msingi wa kifaru katika Kiswahili

: kifaru1kifaru2

kifaru2

nominoPlural vifaru

  • 1

    gari la chuma la kivita lenye mzinga.

Matamshi

kifaru

/kifaru/