Ufafanuzi wa kifauongo katika Kiswahili

kifauongo, kifaurongo

nomino

  • 1

    mmea ambao majani yake hujikunja yanapoguswa.

Matamshi

kifauongo

/kifauwOngO/