Ufafanuzi wa kifo katika Kiswahili

kifo

nomino

  • 1

    tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai; uangamiaji.

    mauti, hilaki, ahadi

Matamshi

kifo

/kifO/