Ufafanuzi wa kiforongo katika Kiswahili

kiforongo

nominoPlural viforongo

  • 1

    mdudu, agh. anayepatikana katika kokwa ya embe na anayejikinga kwa kujifanya amekufa aguswapo.

Matamshi

kiforongo

/kifOrOngO/