Ufafanuzi msingi wa kifu katika Kiswahili

: kifu1kifu2kifu3

kifu1

nominoPlural vifu

  • 1

    kitu kilichokufa.

Asili

Kar

Matamshi

kifu

/kifu/

Ufafanuzi msingi wa kifu katika Kiswahili

: kifu1kifu2kifu3

kifu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~isha

Asili

Kar

Matamshi

kifu

/kifu/

Ufafanuzi msingi wa kifu katika Kiswahili

: kifu1kifu2kifu3

kifu3

kielezi

  • 1

    kadiri inayotosheleza.

    ‘Amekula kifu yake’
    kiasi

Asili

Kar

Matamshi

kifu

/kifu/