Ufafanuzi wa kifuasi katika Kiswahili

kifuasi

nomino

  • 1

    kitu kinachofuata.

  • 2

    nambari shufwa.

  • 3

    kiambata

Matamshi

kifuasi

/kifuasi/