Ufafanuzi wa kifundiro katika Kiswahili

kifundiro

nominoPlural vifundiro

  • 1

    kitu kilichotengenezwa kutoka kitu kingine.

    ‘Nguo ni kifundiro cha pamba’

  • 2

    bidhaa zilizokwisha kutengenezwa kwenye karakana.

Matamshi

kifundiro

/kifundirɔ/