Ufafanuzi wa kifunguakopo katika Kiswahili

kifunguakopo

nomino

  • 1

    kidude kama kisu kinachotumika kufungulia kopo au mkebe.

Matamshi

kifunguakopo

/kifunguwakOpO/