Ufafanuzi wa kifunguamimba katika Kiswahili

kifunguamimba

nomino

  • 1

    mtoto wa kwanza kuzaliwa na mama.

    mwanambee, chudere

Matamshi

kifunguamimba

/kifunguwamimba/