Ufafanuzi wa kifuo katika Kiswahili

kifuo

nominoPlural vifuo

  • 1

    kipande cha mti au chuma chenye ncha juu kinachochomekwa ardhini na kutumiwa kuondolea makumbi ya nazi; mti wa kufulia nazi.

    cheo

Matamshi

kifuo

/kifuwO/