Ufafanuzi wa kifurushi katika Kiswahili

kifurushi

nominoPlural vifurushi

  • 1

    kitu au vitu vilivyofungwa pamoja kwa karatasi na gundi, nguo au kamba.

    kichopa, kipeto, bumba

Matamshi

kifurushi

/kifuruʃi/