Ufafanuzi msingi wa kigae katika Kiswahili

: kigae1kigae2

kigae1

nominoPlural vigae

 • 1

  kifaa cha kuezekea paa la nyumba kilichotengenezwa kwa udongo.

 • 2

  kifaa kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri kinachotumiwa kwa kujengea sakafu au kubandikwa ukutani.

Matamshi

kigae

/kigajɛ/

Ufafanuzi msingi wa kigae katika Kiswahili

: kigae1kigae2

kigae2 , gae

nominoPlural vigae

 • 1

  kipande cha chombo cha udongo k.v. chungu au mtungi uliovunjika.

  kigeregenza

 • 2

  kipande kidogo cha gilasi au kioo kilichovunjika.

Matamshi

kigae

/kigajɛ/