Ufafanuzi wa kigango katika Kiswahili

kigango

nominoPlural vigango

  • 1

    kituo kidogo cha kanisa kilicho mbali na makao ya parokia.

Matamshi

kigango

/kigangɔ/