Ufafanuzi wa kigeugeu katika Kiswahili

kigeugeu

nominoPlural vigeugeu

  • 1

    mtu asiye na msimamo thabiti; mtu mwenye kubadilibadili mawazo au kauli mara kwa mara.

    kauleni, kimbaumbau

Matamshi

kigeugeu

/kigɛwugɛwu/