Ufafanuzi wa kigoda katika Kiswahili

kigoda

nomino

  • 1

    kiti kidogo, agh. cha miguu mitatu, kisichokuwa na kiegemeo.

Matamshi

kigoda

/kigOda/