Ufafanuzi wa kigodo katika Kiswahili

kigodo

nomino

  • 1

    unga wa mchele uliopondwa pamoja na sukari na nazi iliyokunwa.

    bumbwi

Matamshi

kigodo

/kigOdO/