Ufafanuzi wa kigosho katika Kiswahili

kigosho

nominoPlural vigosho

  • 1

    kitu kilichopindika au kukunjika kinachotumika kutundikia nguo.

  • 2

    sehemu ya mwili iliyopinda kwa sababu ya ajali au maradhi.

    ‘Kigosho cha mguu’
    ‘Kigosho cha mkono’

Matamshi

kigosho

/kigOʃO/