Ufafanuzi wa kigugumizi katika Kiswahili

kigugumizi

nomino

  • 1

    mtu anayesitasita anapoongea au anaposoma.

  • 2

    uongeaji au usomaji wa kusitasita.

    kitata

Matamshi

kigugumizi

/kigugumizi/