Ufafanuzi wa kigwena katika Kiswahili

kigwena

nominoPlural vigwena

  • 1

    mkutano wa siri wa watu wenye kutengeneza mipango ya kumdhuru mtu fulani.

    ‘Jamaa wamenikalia kigwena’

  • 2

    mkutano wa kuamua jambo jema.

    ‘Tumekaa kigwena kuamua jinsi ya kusherehekea harusi yake’

Matamshi

kigwena

/kigwɛna/