Ufafanuzi wa Kihadimu katika Kiswahili

Kihadimu

nominoPlural Kihadimu

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili isemwayo kusini mashariki mwa kisiwa cha Unguja.

    Kimakunduchi

Matamshi

Kihadimu

/kihadimu/