Ufafanuzi wa kiharusi katika Kiswahili

kiharusi

nominoPlural kiharusi

  • 1

    ugonjwa wa kupooza viungo vya mwili wa binadamu na kuua hisi na nguvu za viungo hivyo; ugonjwa unaotetemesha mwili.

    faliji, ganzi

Asili

Kar

Matamshi

kiharusi

/kiharusi/