Ufafanuzi wa kihodhi katika Kiswahili

kihodhi

nominoPlural vihodhi

  • 1

    sehemu ya mwili mnamofanyiwa maji yenye dawa ya kufanya kazi nyinginezo mwilini k.m. kifuko cha mate.

Matamshi

kihodhi

/kihODi/