Ufafanuzi wa kihongwe katika Kiswahili

kihongwe

nominoPlural vihongwe

  • 1

    punda mdogo kiasi wa rangi ya kahawia anayetumiwa kubebea mizigo.

    ‘Punda kihongwe’

Asili

Kar

Matamshi

kihongwe

/kihOngwɛ/