Ufafanuzi wa kihunzi katika Kiswahili

kihunzi

nomino

  • 1

    usemaji wa maneno kwa kuyafumbafumba ili wengine wasifahamu.

Matamshi

kihunzi

/kihunzi/