Ufafanuzi wa kiibodi katika Kiswahili

kiibodi, kibodi

nominoPlural kiibodi

  • 1

    bao la kompyuta lenye vitufe vyenye maandishi na alama mbalimbali zinazotumika kucharazia au kuendeshea programu mbalimbali.

  • 2

    sehemu kwenye chombo cha muziki k.v. piano, iliyo na vidude vya rangi, vinavyobonyezwa kutoa sauti.

Asili

Kng

Matamshi

kiibodi

/ki:bOdi/