Ufafanuzi wa kiima katika Kiswahili

kiima

nominoPlural viima

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno au kifungu cha maneno katika sentensi ambacho hutangulia kitenzi, agh. huonyesha mtenda.

Matamshi

kiima

/ki:ma/