Ufafanuzi wa Kiingereza katika Kiswahili

Kiingereza

nomino

  • 1

    lugha inayozungumzwa na watu wa Uingereza, Marekani, Australia na baadhi ya nchi nyingine hasa zilizokuwa chini ya utawala wa Waingereza katika enzi za ukoloni.

    Kimombo

Matamshi

Kiingereza

/ki:ngɛrɛza/