Ufafanuzi wa kiinilishe katika Kiswahili

kiinilishe

nominoPlural viinilishe

  • 1

    vitu vilivyo katika mimea, samaki na wanyama ambavyo hurutubisha mwili vinapoliwa.

Matamshi

kiinilishe

/ki:niliʃɛ/