Ufafanuzi wa kiinimacho katika Kiswahili

kiinimacho

nominoPlural vyinimacho

  • 1

    mchezo unaoweza kuyadanganya macho ya watu kwa kuyaona mambo kinyume cha yalivyo hasa.

    mazingaombwe, mizungu, mazingazi, mauzauza, machezo

Matamshi

kiinimacho

/ki:nimatʃO/