Ufafanuzi wa kijaa katika Kiswahili

kijaa

nominoPlural vijaa

  • 1

    mtambo uliotengenezwa kwa mawe mawili yenye umbo la duara na kushikwa na mihimili katikati, wenye kishikio cha mti cha kuzungusha jiwe la juu ili kusaga au kupaaza nafaka.

Matamshi

kijaa

/kiʄa:/