Ufafanuzi msingi wa kijembe katika Kiswahili

: kijembe1kijembe2

kijembe1

nomino

  • 1

    ala kama kisu itumiwayo kwa kunyolea nywele au ndevu.

Matamshi

kijembe

/kiʄɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kijembe katika Kiswahili

: kijembe1kijembe2

kijembe2

nomino

  • 1

    maneno ya mafumbo ya kumsema mtu.

Matamshi

kijembe

/kifɛmbɛ/