Ufafanuzi wa kijicho katika Kiswahili

kijicho

nomino

  • 1

    tabia ya kutopenda mtu mwingine apate mafanikio.

    uhasidi, fihi, gere, wivu, ngoa