Ufafanuzi wa kijiti katika Kiswahili

kijiti

nomino

  • 1

    kipande cha mti, agh. huwa chembamba.

    ‘Kijiti cha kibiriti’

Matamshi

kijiti

/kiʄiti/