Ufafanuzi msingi wa kijivu katika Kiswahili

: kijivu1kijivu2

kijivu1

nominoPlural vijivu

  • 1

    mpini wa kekee.

Matamshi

kijivu

/kiʄivu/

Ufafanuzi msingi wa kijivu katika Kiswahili

: kijivu1kijivu2

kijivu2 , kijivujivu

kivumishi

  • 1

    rangi kama jivu.

    ‘Rangi ya kijivu’

Matamshi

kijivu

/kiʄivu/