Ufafanuzi wa kijuujuu katika Kiswahili

kijuujuu

kielezi

  • 1

    bila ya makini.

    ‘Amejibu swali kijuujuu tu’
    ovyoovyo

Matamshi

kijuujuu

/kiʄu:ʄu:/