Ufafanuzi wa kikaango katika Kiswahili

kikaango

nominoPlural vikaango

  • 1

    chombo kinachotumiwa kukaangia vyakula k.v. chapati au mayai.

Matamshi

kikaango

/kika:ngɔ/