Ufafanuzi wa kikalio katika Kiswahili

kikalio

nominoPlural vikalio

  • 1

    kitu ambacho hutumiwa kwa kukaliwa.

  • 2

    kitu ambacho huwa chini ili kitu kingine kiwekwe au kikae juu yake k.v. kibao, msala au kiti.

Matamshi

kikalio

/kikalijO/