Ufafanuzi wa kikanza katika Kiswahili

kikanza

nominoPlural vikanza

  • 1

    kitu kinachotumika kukandia mtu baada ya chenyewe kupashwa moto.

Matamshi

kikanza

/kikanza/