Ufafanuzi wa kikao katika Kiswahili

kikao

nominoPlural vikao

  • 1

    mahali pa kukaa; nafasi maalumu ya kukaa k.v. barazani.

  • 2

    mkutano wa chama au watu maalumu.

Matamshi

kikao

/kikawɔ/