Ufafanuzi wa kikapu katika Kiswahili

kikapu

nominoPlural vikapu

  • 1

    chombo kinachosukwa kwa miyaa, ukindu au miwale kinachotumika kubebea vitu.

    ‘Kikapu cha ukindu’

Matamshi

kikapu

/kikapu/