Ufafanuzi wa kiki katika Kiswahili

kiki

nominoPlural kiki

  • 1

    tendo la kupiga mpira wa miguu kwa nguvu sana.

    ‘Piga kiki’

Asili

Kng

Matamshi

kiki

/kiki/