Ufafanuzi wa kikingio katika Kiswahili

kikingio

nominoPlural vikingio

  • 1

    kitu cha kukingia, kufichia au kulindia.

Matamshi

kikingio

/kikingijɔ/