Ufafanuzi wa kikiwima katika Kiswahili

kikiwima

nominoPlural kikiwima

  • 1

    pedeli mlalo ya kushtua na kuwashia pikipiki, ambayo agh. husimama wima wakati haitumiwi.

Matamshi

kikiwima

/kikiwima/