Ufafanuzi wa kikohozi katika Kiswahili

kikohozi

nominoPlural kikohozi

  • 1

    ugonjwa wa kifua ambao humfanya mtu akohoe sana na kutoa balaghamu.

Matamshi

kikohozi

/kikOhOzi/