Ufafanuzi wa kikoi katika Kiswahili

kikoi

nominoPlural vikoi

  • 1

    nguo yenye upindo wa rangirangi ambayo huvaliwa kwa kujifunga kiunoni na hushuka mpaka miguuni.

Matamshi

kikoi

/kikOji/