Ufafanuzi msingi wa kikombe katika Kiswahili

: kikombe1kikombe2kikombe3

kikombe1

nomino

 • 1

  chombo cha kauri, chuma, madini, n.k. kitumiwacho kwa kunywea.

  ‘Kikombe cha kahawa’

Matamshi

kikombe

/kikOmbÉ›/

Ufafanuzi msingi wa kikombe katika Kiswahili

: kikombe1kikombe2kikombe3

kikombe2

nomino

 • 1

  chombo maalumu kilichotengenezwa kwa madini, agh. ya fedha au shaba, kinachoshindaniwa katika michezo k.v. mpira na mbio.

Matamshi

kikombe

/kikOmbÉ›/

Ufafanuzi msingi wa kikombe katika Kiswahili

: kikombe1kikombe2kikombe3

kikombe3

nomino

 • 1

  kichupa kidogo kinachozuia nguvu za umeme, joto, n.k. lisitoke.

  ‘Kikombe cha simu’

 • 2

  sehemu ya katikati ya gurudumu la baiskeli inayoshika gololi.

  kinu

Matamshi

kikombe

/kikOmbÉ›/