Ufafanuzi msingi wa kikomo katika Kiswahili

: kikomo1kikomo2

kikomo1

nominoPlural vikomo

  • 1

    hali, wakati au mahali pa kumalizia.

    mwisho, tama, dali, tamati, kitembo

Matamshi

kikomo

/kikOmO/

Ufafanuzi msingi wa kikomo katika Kiswahili

: kikomo1kikomo2

kikomo2

nominoPlural vikomo

  • 1

    kipaji cha uso kilichochomoza.

    ‘Kikomo cha uso’

Matamshi

kikomo

/kikOmO/