Ufafanuzi msingi wa kikono katika Kiswahili

: kikono1kikono2

kikono1

nominoPlural vikono

 • 1

  Kibaharia
  kamba iliyo kati ya mlingoti na ubao wa ubavuni mwa chombo cha majini.

  ‘Kikono cha ayari’

 • 2

  kipingo.

Ufafanuzi msingi wa kikono katika Kiswahili

: kikono1kikono2

kikono2

nominoPlural vikono

 • 1

  mtu mwenye kilema cha mkono.

Matamshi

kikono

/kikOnO/