Ufafanuzi wa kikonyo katika Kiswahili

kikonyo

nominoPlural vikonyo

  • 1

    kishina cha tunda au ua ambacho hujishikilia kwenye tawi la mti.

Matamshi

kikonyo

/kikO3O/