Ufafanuzi wa kikorokoro katika Kiswahili

kikorokoro

nominoPlural vikorokoro

  • 1

    kitu kisicho na faida na ambacho huweza kuachwa kuchezewa na watoto.

Matamshi

kikorokoro

/kikOrOkOrO/